Hapo inakuwaje wadau, eti mwanamke anasema, sikupi mambo mpaka ujitambulishe kwetu na huku mwanaume naye anakaza kamba, anataka kwanza aonje utamu ndio ajue kama yaliyomo yamo akinogewa ndio ajitokeze kwa wazazi kubeba mzigo jumla, nani yupo sahihi hapo?
Kwa upande wangu siwezi kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
Dada zangu, kuwa makini sana na mtu asiyetaka ufanye kazi yoyote ya kuingiza hata 100.
Manipulators pia hide behind traditional values, caring and protecting.
Wewe unahisi unafanyiwa hayo kwa upendo kumbe upo kwenye financial abuse designed ili uwe dependent and controlled😁
Hakuna aliye sahihi au mwenye makosa moja kwa moja.
Mwanamke ana haki ya kuweka mipaka yake na kutaka uthibitisho wa dhamira ya mwanaume kabla ya kufanya mapenzi.
Vivyo hivyo, mwanaume ana haki ya kutafuta mwenza anayelingana na matarajio yake.
Tatizo linatokea pale mmoja anapotaka kumlazimisha mwenzake kubadili msimamo wake. Kama hamkubaliani kwenye jambo hilo, ni bora kila mmoja atafute mtu mwenye mtazamo unaofanana na wake kuliko kushinikizana.
From age 25-35, a man faces his hardest battles, not with the world, but with himself. Dear son, this is the age where you either break cycles and rise or stay trapped in your past forever.