Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Una mchumba, mzuri kwa sura na umbo, mrefu bonge la kaka litanashati.
Mmekubaliana kuwa hamna kuparamiana hadi mfunge ndoa kwa kuwa nyie ni walokole safi.
Mapenzi yenu yanaendelea, siku moja kabla ya harusi mchumba wako anafumaniwa gesti na mke wa mtu, soo linamalizwa kiungwana.
Kesho yake kanisani mchungaji anapouliza iwapo kuna mwenye pingamizi mara wanaibuka wanawake watatu, mmoja ana watoto wawili, mwingine ana mtoto mmoja na mwingine ana cheti cha ndoa.
Je mwanaume kama huyu anastahili adhabu gani kutoka kwa ndugu wa bibi harusi n??
Anastahili msamaha wa bibi harusiUna mchumba, mzuri kwa sura na umbo, mrefu bonge la kaka litanashati.
Mmekubaliana kuwa hamna kuparamiana hadi mfunge ndoa kwa kuwa nyie ni walokole safi.
Mapenzi yenu yanaendelea, siku moja kabla ya harusi mchumba wako anafumaniwa gesti na mke wa mtu, soo linamalizwa kiungwana.
Kesho yake kanisani mchungaji anapouliza iwapo kuna mwenye pingamizi mara wanaibuka wanawake watatu, mmoja ana watoto wawili, mwingine ana mtoto mmoja na mwingine ana cheti cha ndoa.
Je mwanaume kama huyu anastahili adhabu gani kutoka kwa ndugu wa bibi harusi n??
Jamaa rijali huyo, na anafanya risk diversification. Oooh, natania tuu, aende Loliondo.
nasikia ile dawa ya Loliondo ni noma, ukinywa lazima tabia zako za kitandani ziimarike sana.