Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,346
Waungwana,
Kwa kipindi hiki cha baridi kunakuwa na milipuko mikali ya mafua na flu. Binafsi mimi ni mmoja wa wanaoathiriwa sana, yaani kishikwa hata kazi siwezi kufanya kwa siku 3-4.
Baada ya kuhangaika hangaika nimefanikiwa kupata dawa fulani ambayo ni mchanganyiko wa adrenergic drugs na opiates. It really worked for me, ndani ya masaa mawili tu ile muchuruziko ya mafua makali, homa na chafya ikaisha, na usiku nikaweza kulala sawasawa.
Kwa ambao wako ok kutumia dawa hizi za kizungu, na pengine panadol, asprin au piriton zimeshindwa kufanya kazi, waitafute hii dawa (au nyingine yenye mchanganyiko sawa nayo...
Codral
Tahadhari: Hairuhusiwi kwa watoto chini ya miaka 12...