Asilimia 80 ya watu wote wanaoajiriwa (global data) hupata kazi kutokana na networking na 20% waliobaki hupata kutokana na application...
90% ya watu wote wanaotafuta ajira hutegemea application...
Kama unatarajia kupata ajira kwa application, ujue kwamba una chance kwenye nafasi moja tu kati ya 5 zilizo vacant, na ujue kwenye hiyo nafasi 1, unaenda ku-compete na 90% ya watu wanaotafuta kazi hiyo...
Kwa nini usianze networking leo?