Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,150
- 528
- Thread starter
-
- #201
Unamaanisha mtu akilipa kwa bei mnayoelekeza hatakabiliwa na gharama nyingine yoyote? Yeye ni kupokea tu na kwenda kupaki nyumbani kwake? Hapo uwe wazi kabisa!!Bei zote ni pamoja na usajili boss
Kwa usaidizi wa haraka nipigie 0719 972 458
Umeelewa sahihi kabisaUnamaanisha mtu akilipa kwa bei mnayoelekeza hatakabiliwa na gharama nyingine yoyote? Yeye ni kupokea tu na kwenda kupaki nyumbani kwake? Hapo uwe wazi kabisa!!
Mkui niletee crown athletic nione bei zaka kwanza ndo nikuambie ipi uniletee.Kupitia uzi sasa unaweza kuagiza gari yoyote kutoka; Japan[emoji818] UK[emoji818] Singapore[emoji818] Dubai[emoji818] China[emoji818] Thailand[emoji818] Korea[emoji818] n.k
NB: Ukiagiza gari nasi tunakupa full package; yaani kuagiza, ku-clear bandarini na kusajili. Pia ukihitaji delivery popote ulipo tunakuletea.
Tunapatikana Rita towers, ghorofa ya 11
Mtaa wa Simu/Makunganya
Posta Mpya, Dar es Salaam
Tupigie/Whatsap 0719972458
Instagram @magari_aina_zote
Facebook: Magari aina zote
Fuatana nasi kwenye comments hapo chini kama una swali lolote uliza tutakujibu
Karibuni sana mkuu[emoji1666][emoji1666]
Zinaanzia 18.5M na kuendelea mkuuMkui niletee crown athletic nione bei zaka kwanza ndo nikuambie ipi uniletee.