Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,150
- 528
- Thread starter
-
- #241
Wengine tuna mzuka na milage. Tafdhali tuweke kwa kila gari imekula km ngapi. Ukipata Toyota Rush au RAV 4 manual nzuri ya karibuni 2008 hadi 2014 , nitavunja benki.Agiza nasi IST New Model
🔸Year 2014
🔸CC 1490
🔸Automatic
🔸Black Color
🔸4 Wheel Drive
🔸Seating Capacity 5
🔹DVD Radio
🔹Fog lights
🔹Back Spoiler
🔹Winker Mirrors
🔹Navigation system
🔹Push to start
🔹Remote Key
🔹Alloy Rims Sport
🔹Power windows & steering
✔️Jack
✔️Spare Tyre
✔️Wheel Spanner
📍Location: Japan
💰Price: 22.8M
Malipo ni awamu 2; Anza na 12.5M, malizia 10.3M gari ikiwasili nchini.
Tunapatikana Rita tower, ghorofa ya 11
Piga/Whatsap: 0719972458
Instagram @magari_aina_zote
Facebook: Magari aina zote
View attachment 2634357View attachment 2634358View attachment 2634359View attachment 2634360View attachment 2634361View attachment 2634362View attachment 2634363View attachment 2634364View attachment 2634366View attachment 2634367View attachment 2634368View attachment 2634369View attachment 2634370View attachment 2634371View attachment 2634372View attachment 2634373
Tafadhali mkuu, usivunje bank utasababisha taharuki 😁😁😁Wengine tuna mzuka na milage. Tafdhali tuweke kwa kila gari imekula km ngapi. Ukipata Toyota Rush au RAV 4 manual nzuri ya karibuni 2008 hadi 2014 , nitavunja benki.
Serikali yako ndo kodi zipo juu,hilo ni swala la serikali wanadai wakipunguza kodi magari chakavu yatakuwa mengi na misongamano barabaran[emoji23]Samahan sana ila leo naomba mnipe elimu kdgo nyie km waagiza magari
Iv pesa ya Tanzania haina thamna au ni kwel hayo magar yanakua na bei izo
Iv inakuaje gari ya 2005 ina garama iv wakat gar iyo ina miaka zaid ya 18
Iv inakuaje gar km harrier ya 20014 kuuzwa million 70/80
Iv inakuaje gar km crown ya 2014 inauzwa million 65 wakt gar zote izo zna 9years tangu zitoke
Iv inakuaje range rover
Iw evoque,sport ya 2004 iuzwe million 60
Iv inakuaje gar km vangard ya 2004/12 iuzwe million 35
Kwa ufupi tu ni kwann magar yanakua na garama kubwa sana kulinganisha na vipato vyetu maana kwa mm ninavyoelewa vtu vote vilitakiwa kuuzwa kulingana na uiano wa vipato vyetu
Iv mtu mwenye kipato cha lk 5 / 8 anaweza kwel kununua gar ya million 18 jibu ni kwamba hawezi ila atajilazimisha kununua
Na kwa bei izo kubwa za magar ni lin watz tutaweza kumiliki magar ya 5. To 1 yrs tangu yatengenezwe
Hapana bossSouth afrika vip hamuagizi gari na kwenyewe
Nichek whatsap mkuu 0719 972 458Natafuta toyota dyna, toyoace au canter truck. Nzuri hasa, nipe bei