Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,150
- 528
- Thread starter
-
- #21
Mkuu, tunatamani sana gari nyingi zingekuwa kwa bajeti hiyo au hata chini ya hapo lakini hali halisi haiko hivo.Tuwekee na za milioni mpaka 10, hizo za m50 sijui m70 wengine hatuna iyo hela
Mkuu, tunatamani sana gari nyingi zingekuwa kwa bajeti hiyo au hata chini ya hapo lakini hali halisi haiko hivo.
Hata hivo zipo gari za 10M kushuka ikiwemo Daihatsu Mira, Suzuki Alto n.k
Kwa maongezi zaidi; +255719972458
Mnipe na auction domentsKupitia uzi sasa unaweza kuagiza gari yoyote kutoka; Japan✔ UK✔ Singapore✔ Dubai✔ China✔ Thailand✔ Korea✔ n.k
NB: Ukiagiza gari nasi tunakupa full package; yaani kuagiza, ku-clear bandarini na kusajili. Pia ukihitaji delivery popote ulipo tunakuletea.
Tunapatikana Rita towers, ghorofa ya 11
Mtaa wa Simu/Makunganya
Posta Mpya, Dar es Salaam
Tupigie/Whatsap 0719972458
Instagram @magari_aina_zote
Facebook: Magari aina zote
Fuatana nasi kwenye comments hapo chini kama una swali lolote uliza tutakujibu
Karibuni sana mkuu🤝🤝
Hapana mkuuSiwezi kupata IST cc 1490 ya model 2009? Bajeti yangu ni m10
Utapata mkuuMnipe na auction doments
Una bajeti kiasi gani mkuu na unaplan kumiliki gari gani?Basi sawa mkuu, ila magari yenu bei ghali sana, so, sijajua ni riba hiyo?
Una bajeti kiasi gani mkuu na unaplan kumiliki gari gani?
Tunapatikana kupitia +255 719 972 458
Kwa aina ya gari unazohitaji na kwa bajeti yako. Nakushauri uchukue used ya hapa nchini. Bajeti hiyo Inatosheleza kabisa.Bajeti yangu m5 hadi m10, Ist ,Raum au lolote lile muhimu toyota company
Karibu mkuuAhsante kwa taarifa...