Magari Aina Zote
JF-Expert Member
- Jul 31, 2012
- 3,150
- 528
- Thread starter
-
- #661
Zipo mkuuMkuu Una gari za umeme pekee?
Uwe unaweka pia mkuu,za bei ndogo hadi za bei juu!Zipo mkuu
Mna bei sanaKupitia uzi sasa unaweza kuagiza gari yoyote kutoka; Japan✔ UK✔ Singapore✔ Dubai✔ China✔ Thailand✔ Korea✔ n.k
NB: Ukiagiza gari nasi tunakupa full package; yaani kuagiza, ku-clear bandarini na kusajili. Pia ukihitaji delivery popote ulipo tunakuletea.
Tunapatikana Rita towers, ghorofa ya 11
Mtaa wa Simu/Makunganya
Posta Mpya, Dar es Salaam
Tupigie/Whatsap 0719972458
Instagram @magari_aina_zote
Facebook: Magari aina zote
Bonyeza link kujiunga kwenye channel yetu WhatsApp:👉👉 Magari Aina Zote
Fuatana nasi kwenye comments hapo chini kama una swali lolote uliza tutakujibu
Karibuni sana mkuu🤝🤝
Usiogope mkuuMna bei sana
Naomba tu kuuliza sio kwa ubaya
Iv akunaga magari aina zingne tofauti na
Harrier
Nissan dual
Suburu foresta
Toyota kruger
Toyota IST
Mazda cx
Na shida huwa ni nini maana tunatembelea magar yakufanana wakat model za magar ni nying sana
Kwema mkuu?Naomba tu kuuliza sio kwa ubaya
Iv akunaga magari aina zingne tofauti na
Harrier
Nissan dual
Suburu foresta
Toyota kruger
Toyota IST
Mazda cx
Na shida huwa ni nini maana tunatembelea magar yakufanana wakat model za magar ni nying sana