Ilikuwa ni ndoto iliyoishi kwenye fikra za Mteja wetu Mr Ally kwa muda mrefu akiifanyia kazi usiku na mchana. Huku tukishauriana naye kwa pamoja hatua kwa hatua.
Na Leo hii rasmi tumemwezesha kutimiza ndoto hii. Baada ya kumwagizia gari hii aina ya BMW 3 Series nyeupe toleo la mwaka 2008, CC 1990 ikiwa imetembea km 69,000
Gari hii inakuja na options kama steering switch, back camera, navigation, Push to start, muziki munene, siti za umeme, siti za ngozi na nyingine nyingi.
Je unahitaji kuagiza gari yoyote kutoka; Japan✔ UK✔ Singapore✔ Dubai✔ China✔ Thailand✔ Korea n.k? Karibu tukuhudumie
Ofisi zetu zinapatikana;
Rita Tower, ghorofa ya 11,
Mtaa wa Simu/Makunganya,
Posta mpya Dar es Salaam.
Tupigie/Whatsapp: 0719972458