Ni siku nyingine nzuri ambapo tuna furaha sana baada ya kufanikiwa kutimiza ndoto ya mteja wetu kutokea mkoani Geita kwa kumuagizia, kumsajilia na kumkabidhi gari hii aina ya Nissan Dualis Crossrider
Gari hii imekuja na options kama steering switch, back camera, side camera, navigation, Smart start, Keyless entry, spare remote key, muziki munene, siti za ngozi(alcantara) na nyingine nyingi.
Sasa ni zamu yako! Karibu uagize nasi gari yoyote kutoka; Japan✔ UK✔ Singapore✔ Dubai✔ China✔ Thailand✔ Korea n.k
Ofisi zetu zinapatikana;
Rita Tower, ghorofa ya 11,
Mtaa wa Simu/Makunganya,
Posta mpya Dar es Salaam.
Tupigie/Whatsapp: 0719972458