Niko hapa kukusaidia kutengeneza programu bora kwa matumizi yako binafsi au ya kibiashara. Ninabuni websites na applications za kisasa kwa gharama nafuu na bei maelewano. Muda ni ndani ya siku 2 mpaka week mbili ikiwa ngumu sana
✅ Nina uzoefu katika:
✅ Nina uzoefu katika:
- Kutengeneza Websites (E-commerce, Blogs, Portfolios, SaaS)
- Applications za Simu (Android & iOS)
- Mfumo wa Biashara (POS, ERP, na zaidi)