π§ Silicone Sausage β Professional Sealant
Kwa kazi za kuziba, kuzuia maji na kumalizia kazi kwa usafi, tumia Silicone Sausage yenye ubora wa juu kwa matumizi ya ujenzi na ufungaji wa vifaa mbalimbali.
β
Inazuia maji kuingia (Waterproof Seal)
β
Inashikamana vizuri kwenye glass, aluminium, tiles na mbao
β
Inadumu muda mrefu na haipasuki kirahisi
β
Inafaa kwa madirisha, milango, bafu, sink na kazi nyingi za finishing
π Tupo Kinondoni
π π΄ 0719 07 32 06
π Delivery ipo