umenitag mkuu vp?
πππSimu tunazo tumia pia zina kiwango cha dhahabu...! Harafu wahuni wakawa wanatuambia eti tusiambatane na mapambo ya dhahabu
ππππMkuu kwa nini umetoa hii code? Sasa shughuli yangu ya utafutaji wa dhahabu itadorora.
Huku ni kuharibiana tu!
Nilifikisha tatu tu mkuu π.ππππ
Aisee watu mpo mbele ya muda?
Umeshauza gram ngapi?
Duh ubilionea bado?πNilifikisha tatu tu mkuu π.
Bado sana mkuu. Bado mimi ni 'Lakea'.Duh ubilionea bado?π