ukiambiwa umekosea na ukagundua kweli umekosea kubali na useme asante kwa kurekebishwa, acha ubishi, tunashukuru kwa kupost hiyo link kwani utasaidia watu wengi ingawa tayari calvinpower alishaipost zamani nadhani wewe ulikuwa hujajiunga JF.
Kaka kakukosesha kibiashara chako au?
Edjizzo nakushauri uachane na mambo ya technology na uingine kwenye kilimo cha mapapai.
Kaka kakukosesha kibiashara chako au?
Sielewi kuna ugomvi wa nini hapa!