UNATAKA KUCHEZA NAYE...

UNATAKA KUCHEZA NAYE...

don88

Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
53
Reaction score
84
JAMAA aliingia mgahawani na kuagiza wali kuku, sikia ilivyokuwa;

Mhudumu: Tukuhudumie nini?

Jamaa: Niletee wali kuku, weka na pilipili.

(baada ya kuletewa)

Jamaa: Oya, mbona huyu kuku ana mguu mmoja mrefu kuliko mwingine?

Mhudumu: Kwani huyo kuku unataka kumla au kucheza naye muziki?
 
Back
Top Bottom