Unataka kufanikiwa kimapenzi;sali sala hii

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nakuombea furaha yako iongezeka kama bei ya petrol na umeme

mashaka yako yapungue kama kura za ccm 2010

umaarufu wako uongezeke kitandan na kwingineko kama kijiji cha loliondo

hekima zako zizagae kila sehemu kamabidhaa za wachina

wanaokuombeamabaya wapotee kama deci

uwepowako dunian uwe nuru dunian kama alivyo ambilikile mwasapile

nakuombea ufanikiwe ndoa yako uishi kwa furaha na si uhuzuni kama wakazi wa gongo la mboto

kwa mungu baba ninaomba

amen
 
sas hapa mbona namuombea mtu badala yakujiombea mimi?
 
Hii iko gumu muno bana......why this??!!:angry:
 
Pdiddy,
nimeipenda sala yako, safi sana....... ASANTE......





'''NJIA ATUMIAYO MTU KUPATA UFUMBUZI WA MATATIZO NDIYO KIELEZO CHA UTU ,HEKIMA, NA BUSARA ALIYONAYO""
 
hiii bana iko chokozi sana hii, iko tafuta mimi ubaya hee
 
Nilishaitikia amin lkn wapi mpaka leo maombi yamebuma
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…