Unataka kufanya kazi zako Online ukiwa nyumbani? Soma hapa


Mkuu soma post za nyuma acha uvivu.

Nimeandika mambo mengi hapa JF.

Pia inaonyesha hufahamu sana unachoongea labda kwasababu ya ugeni.

Kuwa na shukrani achana na ego.
 
Kwanini usiendelee kufanya kazi yako hiyo hiyo uje ufundishe watu kufanya biashara
 
Mkuu hii makala umeikopi sehemu, sio vibaya kwakuwa umeileta hapa jukwaani kwa lengo ya kuhabarisha au kufundisha wengine..umefanya busara kuileta kwenye lugha ya kiswahili, ila udhaifu mkubwa upo kwenye ukweli kwamba umeileta kama ilivyo bila hata kuongeza chochote. Kimsingi kwakua hii tayari ipo mtandaoni ni either ungeiacha hukohuko au ungeileta ukiwa umeongeza vitu ambavyo wewe unaona ni vya msingi na mwandishi wa original work alisahau, yan ungeanzia pale alipoishia..

Jamaa alieandika hiyo hata hajaonesha ni namna gani mtu unaweza kuanza kufanya hizo kazi online. Anakwambia tuu Sijui uwe na meza na PC, Mara mpangilio...so ukiwa na hivyo vitu tayari unaanza Ku make money online?

Makala yako(uliyokopi na kutafsiri)Haijawa Helpful bro, it's just another trash
 

Wewe unachekesha. Hata huelewi sana unachosema.

Soma post zangu za nyuma ufahamu vitu ninavyoandika usikurupuke mkuu.

Nafanya research na kuandaa kila post kwajili ya wasomaji wangu.
 
Ni
Mkopo Ni biashara gani ambayo unaweza kuifanya ukiwa nyumbani?
 
biashara gani ambayo unaweza kuifanya ukiwa nyumbani?
 
GLOBAL CITIZEN
nafatia makala zako sana lakini siambulii kitu hebu anza mwanzo kueleza online business ni nini?
Mimi niko tayari kwa course
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…