Unataka kujua chaguo lako wizara ya afya

Jamani nilijitolea kuwaangalizia matokeo yenu jana na leo....sidhani kama nitapata huo muda tena...so muendelee kusaidiana kuangaliziana majina....Masomo mema vijana
 
Mm sijachaguliwa but naomba kuuliza,je kuna awamu ya pili...?na yanatoka lini kama yapo Plz majibu wapendwa
 
Lacisa hivi umepata wapi haya majibu..?maana kuna mtu anayataka aangalie mwenyewe,nikiingia kwenye www.moh.go.tz ina kataa kufunguka plz msaada
 
Join anazojuwa zipo atuambie b'cz muda waliotoa ni mchache wengne mikowani duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…