Tajiri wa Dunia New Member Joined Jun 10, 2021 Posts 1 Reaction score 0 Jun 10, 2021 #1 Najua kuna watu wanapenda kutengeneza beat za muziki zenye viwango vya juu kwa kutumia FL Studio. Hunabudi kuzijua plugins zitakazokusaidia katika hilo. Basi kama unataka kujua Plugins zenye vinanda vizuri tembelea video hii.
Najua kuna watu wanapenda kutengeneza beat za muziki zenye viwango vya juu kwa kutumia FL Studio. Hunabudi kuzijua plugins zitakazokusaidia katika hilo. Basi kama unataka kujua Plugins zenye vinanda vizuri tembelea video hii.
Deejay nasmile JF-Expert Member Joined Nov 8, 2011 Posts 5,794 Reaction score 5,352 Jun 10, 2021 #2 Kwann usiorodheshe hapa mkuu