Unataka kumuoa Rose? Soma hapa!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Leo nawaletea utafiti mwingine ambao nilikutana nao kwenye jarida la DRUM la Afrika ya kusini,mi nanukuu walichoandika wale watafiti,ambao ni Siphiwe Joseph na Jack Lutherford.Utafiti huo uliohusisha wanawake wenye majina ya Rose sehemu mbalimbali duniani wamekuja na majibu kuwa watu hawa hupenda sana UMBEA lakini zaidi hupenda zaidi wanaume waliooa yaani wanapenda kutoka na Waume za watu,kati ya kila akin Rose 10 waliofanyiwa utafiti,7 walionesha kuwa na tabia hizo.Watafiti hao hawakusema namna walivyofanya huo utafiti lakini hayo ndo majibu waliokuja nayo.Cha kuzingatia ni,Je akina Rose unaowajua wanafit hapo?Mimi ninawajua wa3 wote ni wambea sana yaani ni wachonganishi,ila mmoja kati yao ameshatembea na waume za watu wa4!!!!
 
mhh
ila sio lazima utafiti uendane na uhalisia wa jambo,kwani hao ni rose wa huko na wala si wa tz

msiogope jamani
 
ninaye mjua anaongea kupita maelezo sasa la umbea sijathibitisha
 
ninaye mjua anaongea kupita maelezo sasa la umbea sijathibitisha
Wewe uko sawa na mimi!
Mi namjua huyu Rose1980 wa hapa JF...ANA MANENO MANENOOOO sana, anakonyeza, na hakosi jibu kwa kila swali!

 
Not every tall person you see is a basketball player..

TF,hata utafiti wenyewe wakati unafanyika,sio wote walionekana kuwa na tabia hizo,cha muhimu ni kuwa,unaemjua au unaowajua wakoje?
 
sasa mbona mimi naitwa Rosette.....hii kitu inanihuuu.....?
 
Ukifuatilia na kutumia hayo kama ndio mwongozo wako katika kuoa itabidi uoe/uolewe na mwanadamu asiye na jina.
 
Weee PJ mi simo,akija humu hapatatosha!
 
sasa mbona mimi naitwa Rosette.....hii kitu inanihuuu.....?

Pigia mstari tu!Lakini sio lazima uwe chanya unaweza kuwa hasi pia!
 
Ukifuatilia na kutumia hayo kama ndio mwongozo wako katika kuoa itabidi uoe/uolewe na mwanadamu asiye na jina.

Unaweza kuichukulia kama changamoto kwako!
 

Kwa hiyo Rose aliyenikataa kwa sababu nimemwambia sijaoa hili ndo jibu lake kumbe?
 
Itabid niwatafute kina Rose sasa.

Siju kale ka bent kanitwa Rose Nkata takapa wap, aisay kalikuwa kazuri sana.
 
duu ngoja niangalie huyu shostito nilienae nae ni rose..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…