Unataka kumuoa Rose? Soma hapa!

Akina Ester nafuu maradufu Marytina
 
Marytina,hapo simo kabisaaa!
 
Ha ha ha ha

Namshangaa, mie jina langu la kweli ni Joyce
Napenda umbea kuliko chakula
Na waume za watu 3
Natafuta kiserengeti kimoja

Nashangaa nafit kwa akina rose.
Wizi mtupu
Ukifuatilia na kutumia hayo kama ndio mwongozo wako katika kuoa itabidi uoe/uolewe na mwanadamu asiye na jina.
 
Kongosho!Umenichekesha mbayaaaaa!
 
Nimjuaye mimi aliwahi kumdoea mdogo wake mume, halafu njemba ikajirudi kwa dhambi yake hiyo. Mwingine alizaa na mume wa mtu, bahati mbaya kachanga kakarudisha namba baada ya miezi 1.5.

Ila la umbea, huyu wa pili ni hodari wa kushobokea yasiyomhusu utadhani analipwa. Sitaki kuamini hii theory, ila ngoja na mimi nifanye kautafiti kabla ya kuamini jumla jumla!
 
nimjuae aliwahi kushea mume na mdogo wake. Mwingine alizaa na mume wa mtu na anapenda kushobokea yasiyomhusu utadhani analipwa!
 
mhh makubwa yaweza kuwa kweli kwa asilimia 40
kuna mmoja ananipenda sana wkt ana mchumba wake
afu kuna mwingine mzuri sana lkn anachangaya wanaume aiseeee ngoja niwafanyie zaidi utafiti.
 
nimjuae aliwahi kushea mume na mdogo wake. Mwingine alizaa na mume wa mtu na anapenda kushobokea yasiyomhusu utadhani analipwa!

So,there is some truth in this research!!
 
Na bado unaambiwa

Sijui nyota, scorpion wana tabia a, b, c, d
Herufi za mwanzo wa majina. Mfano akina J wana tabia a, b, c,d
Na wengine wanaenda mbali zaidi, dizaini za kulala na tabia, sijui wanaolala kwa tumbo wako hivi, mgongo wako hivi
Mara shape za nyuso na tabia zao bla blah

WIZI MTUPU, haina maana yeyote na wala haioneshi mtu alivyo
Na hayo ni majina ya kizungu tu
Je majina ya asili za kiafrika?
Kongosho!Umenichekesha mbayaaaaa!
 
haluu kama kuna kaukweli hiviiii, nilikuwa na housegirl anaitwa Rose, nilipoona kanaanza tabia ya kunitega nikamwambia wife tubadilishe housegirl huyu sio, uzuri sikumficha wife
 
Wanasema majina ambayo ni common au watu wengi wanaitwa hivyo
Hebu chunguza akina Mary, Jenipher, Happy, Joyce, John, Joseph, Michael
Utakutana na hayo hayo
mhh makubwa yaweza kuwa kweli kwa asilimia 40
kuna mmoja ananipenda sana wkt ana mchumba wake
afu kuna mwingine mzuri sana lkn anachangaya wanaume aiseeee ngoja niwafanyie zaidi utafiti.
 
Mie nawafahamu kina Rose wa5. wanne kati yao ni wana tabia ya kuwa na wapenzi wengi yaani hawana mpenzi mmoja.
Pia nikuongezee kuna jina ambalo linanitatiza jina lenyewe ni (Monica). Nilipokuwa nasoma sekondari niliwahi kuwafahamu kina monica wa4 cha kushangaza ni kuwa wote wamekua na tabia ya kuribuniwa kirahisi sana, yaani mwanaume akimtongoza anakubaliwa mbaya zaidi ni pale niliposikia scandle ya aliyekuwa Rais wa Marekani ndg Bill Cinton na huyo binti aitwaye Monica hapo ndo nilichoka kuhusu jina hili,. ila sijajua kuwa ni wote au ni hao ambao mimi nimewafahamu.... naomba nisieleweke vibaya
Good day
 
Kongosho bilivu it or not,there is a spirit nyuma ya kila jina,tabia zetu zimeathiriwa sana na majina yetu,pia majina yana maana kubwa sana,unatakiwa uwe makini unapowapa majina wanao,usije anza kulalama,haya matoto ya siku hizi,hovyoo kumbe jina limemmaliza,unafikiri kwanini Mungu alimbadili jina kutoka Abramu kwenda Abraham,Yakobo kuwa Israel?TAFAKARI
 
Aisee inawezekana..
Sababu pia ni kweli majina yanaathiri tabia..
Wakina rose kadhaa ninaowajua wanaangukia hapo
 
Lo! Rose! Marehemu shangazi yangu, enzi zake alitetemesha waungwana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…