Unataka kuoa uchagani?

But you have not pointed one thing!

The chagga are very objective!

Kazi kwenu!
 
Na haya ndio maneno ya watu wa Moshi:

Tuwashukuru Mangi Sina, Meli, Horombo et el..........

Namshukuru Mungu Kuzaliwa chini ya kivuli cha Mlima Kilimanjaro. Wenye Wivu wajinyonge!

Haahhah...ndo maana nampenda babu!!Kili iko juu kama watu wake!
 
ni rahisi sana,ni vichache tu utaambiwa ulete;
1.kabati ya mbeho
2.pick up ya mala
3.radio ya picha
4.kitanda cha kamba.
hiyo ilinivutia sana hadi nina mpango wa kwenda huko kama sio marangu basi ni kibosho,machame,rombo,hai au kibololoni.razima.
5. Thermos ya ugali na mboga! (hotpots)
 
Sisi wachaga we are so special in this country nafikiri tuna utamaduni wa tofauti .
 
Mona nkyoki kikutiri? Pole pole basi utamtisha sana hata hata taka kujaoa hai

Nsunza yani nimerudia sentensi ya kwanza mara tano alafu bado hakiji kitu...asante kwakunikumbusha nahitaji kupiga brush kilugha changu kidogo!!

Mmmh kama maneno yakimtisha basi matendo hatoyaweza kwahiyo bora tu aende kwingine!!
 

kweli kabisa mkubwa unayoyasema hapa.
 

hahaaaaa sijutii kuoa uchagani ... asante shem kwa info ... lkn na nyie acheni kudharauliana wenyewe kwa wenyewe ... rombo ... kirua ... marangu ... machame ... kibosho ... uru ... kishumundu ... naamini umenipata shemeji!!
 
Welcome kilimanjaro the land of opportunities.
 
..ahaaa shem bwana ...eh ..hata mkapa alipigwa biti.."usiposhinda hapa hakieleweki" anyway natania...

well kudharauliana sio eneo na eneo tu ..hata ndani ya familia ..ni utamaduni wa kutiana machungu ...umesaidia sana ushindani wa kimaendeleo......kwenye family level there was this friend of mine ..hakuna na gari ...ndugu zake wanasukuma ...V8 wote..wakawa wanamuita maskini..yaani haruhusiwi kutoa ushauri au hata kuongea lolote serious..kikao cha familia kikiikaa ..hata kama hayupo wanasema qualam imetimia.....this other day akanunua naye hari USED landcruizer 2...badala ya kumsifu..wakawa wanaumuambia gari lake linajaza parking...awe anapaki uwani....Juzi naye kaja na kitu cha uhakika....wakamuambia ..."now we are talking".
 

Duh,Lizzy huu upebari sasa.....
 
ni rahisi sana,ni vichache tu utaambiwa ulete;
1.kabati ya mbeho
2.pick up ya mala
3.radio ya picha
4.kitanda cha kamba.
hiyo ilinivutia sana hadi nina mpango wa kwenda huko kama sio marangu basi ni kibosho,machame,rombo,hai au kibololoni.razima.

Hivi unaenda kuoa sehemu flan kwa sababu ya unafuu wa mahari au kwa sababu umempata mtu unayeweza kuishi nae maishani..
 


Lizzy Bawana anapenda starehe...DIGITALI tu kubonyeza umelala au sio hhahahahaha...asije na la kuamkia kwenda kulizima...watu unageuka tu REMOTI chini ya SITA KWA SITA...hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…