Queen V
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 775
- 1,332
Je unataka kujua aina ya ngozi yako na matunzo kulingana na aina ya ngozi yako?
Unahitaji kuelewa kuhusu bidhaa za vipodozi hatarishi?
Haya na mengine mengi kuhusu Afya ya Ngozi yatapatikana katika Semina inayoletwa kwako na Timeless Hair & Beauty Salon, siku ya Ijumaa tarehe 28.10.2016 kuanzia saa 10 jioni katika Ukumbi wa Banora mkabala na Mlimani City.
Mbali na hayo, kutakuwa na daktari kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili na wawakilishi kutoka TFDA.
Elimu yote hii ni BURE!!!!
Hii si ya kukosa.