Ukumbi wa Banora mkabala na Mlimani CityItakuwa wapi huko?
UNAWEZA KWENDA KUMWAKILISHA MKEO....PIA NADHANI HII NI KWA WATU WA DAR TUU..WA MIKOANI WANAWEZA KUPOTEA MAANA JIJI KUBWA HILI UJUWE.Mwanaume mwenye akili timamu hawezi kwenda labda awe MWANAUME WA DAR
Nyie ndo wale una hela lakini gozi kama kenge, ukiulizwa eti mi mwanaume!Mwanaume mwenye akili timamu hawezi kwenda labda awe MWANAUME WA DAR
Kumbe ndo maana miguu yenu nyie wa mikoani ipo hivi!!Mwanaume mwenye akili timamu hawezi kwenda labda awe MWANAUME WA DAR