Unataka pesa? Ingia kwenye kilimo cha maboga

mkuu u.enielekeza jinsi ya kulima maboga pamoja na maelezo ya awali kuhusu asili ya maboga.

sasa tayari nishavuna maboga. nilelekeze napataje pesa mkuu tendelee hapo.


wakati unafikiria hilo niombe wanaofahamu namna ya kuongezea thamani Boga asante.
 
Kwa hiyo umelima bila kujua soko lake mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…