Unataka Tumbo Flat na Six Packs? Cheki Hapa

Mkuu nikifuata baadhi ya hayo mzoezi ndani ya mwezi mmoja nitakuwa nimepunguza kilo ngapi!?
Haya mazoezi siyo ya kupungua, nime-assume kwa ambaye ana fat kawaida ambaye siyo nimeonesha aanze na kipi kifuate na kipi.
 
Refer Louis Nazario De Lima ( Ronaldo)

Refer Louis Nazario De Lima ( Ronaldo)
Sasa chief picha yenyewe unaona huyo bwana yupo hapo anakula bata unadhani nini kitatokea?
Namna pekee ambayo ulichowahi kuwa nacho kisipotee ni kua na diet na lifestyle yenye nidhamu hata bila mazoezi hautaufikia mwili huo.
 
Ndiyo mkuu kama hivyo naongeza na mountain climbers lakini bado.
Hongera kwa dedication mkuu.

Umewahi kuingiza na kukimbia katika routine yako mkuu?

Unatumia dawa zozote (supplements) katika mazoezi yako?
 
Hongera kwa dedication mkuu.

Umewahi kuingiza na kukimbia katika routine yako mkuu?

Unatumia dawa zozote (supplements) katika mazoezi yako?
Sina routine ya kukimbia mkuu! Na situumi dawa ya aina yoyote!
 
Hongera
mie naona adhabu pale ninapoambiwa nisile baadhi ya vyakula. ati nile mbogamboga na makabichi. Je ? wewe ulikuwa unaendelwea kula kama kawaida au ulibadili na naman ya ulaji?
 
Hongera
mie naona adhabu pale ninapoambiwa nisile baadhi ya vyakula. ati nile mbogamboga na makabichi. Je ? wewe ulikuwa unaendelwea kula kama kawaida au ulibadili na naman ya ulaji?
Nakula kama kawaida ingawa kwenye mlo wangu nazidisha mboga za majani na matunda. Fanya mazoezi kwa bidii mkuu, mwili wenyewe utakubali na utafurahia sana.
 
Mkuu embu tusaidie hyo diet yako
 
Mkuu hiyo diet ya week mbili uliifanyaje?unawez share uzoefu kidogo?
 
Mkuu hiyo diet ya week mbili uliifanyaje?unawez share uzoefu kidogo?

Mkuu embu tusaidie hyo diet yako
Diet ya mdau hiyo hapo.
Binafsi naona hii ni extreme mno, kuukatalia mwili chakula ghafla kwa wiki mbili tu ni tatizo.
 
Diet ya mdau hiyo hapo.
Binafsi naona hii ni extreme mno, kuukatalia mwili chakula ghafla kwa wiki mbili tu ni tatizo.
Mkuu ni commitment tu,mi nilifanya diet ya kula veggie asubuhi,mchana veggie or fruits usiku fresh juice without any added sugar and i lost 4 kgs,Mind that kuna siku kama mbili hivi nilkuwa nacheat nakula kaubwabwa kiduchu au kaugali kadona..unawweza then baada ya hizo siku unaanza kula kama kawaida ila unacontrol intake yako na mazoezi unapungua...i was 97 and now ndani ya miezi 2 nna 79 kgs
 
Salute to your commitment.
 
Wakati niko age 16-27 hio kitu ilikuwepo tu bila mazoezi yoyote special ya tumbo. Nilikuwa tu mwanamichezo na mwili wenyewe ulikuwa unakatika! Nashangaa vijana wa siku hizi 20/25 kitambi kikubwa utafikiri nini sijui!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…