Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Bora tuanzie na hivyo 3 nadhani kuna mpango wa kuboresha vingine muhimu kuanza kuyapikea mabadilikoViwanja huna ,
Unafikiria Var ?.
LIgi nzima viwanja vi 3
Tu Ndo vina miundombinu bora
Lupaso,
Chamazi,
Uhuru ( inayokarabatiwa)..
Watapeleka na mkwakwani TangaViwanja huna ,
Unafikiria Var ?.
LIgi nzima viwanja vi 3
Tu Ndo vina miundombinu bora
Lupaso,
Chamazi,
Uhuru ( inayokarabatiwa)..
Kwa io var itumike mechi za Simba yanga na azam tu sio? Hio itakua ligi Gani sasa?Bora tuanzie na hivyo 3 nadhani kuna mpango wa kuboresha vingine muhimu kuanza kuyapikea mabadiliko
You start small and grow bigKwa io var itumike mechi za Simba yanga na azam tu sio? Hio itakua ligi Gani sasa?
Huenda nae ata upgrade uwezo wakeVar unataka camera 12 wakati Azam mechi nyingine anaweka camera moja aubili.