Jamani hakuna wizara ninayoichukia kama ni nishati, mambo yake hayaeleweki, kwa kumbumbuku nilizonazo hatuna umeme wa uhakika tangu octoba 2011 hivi ni uzembe wa wizara au tanesco. niko njia panda simjui wa kumlaumu, naomba tuchangie kwa weredi wa hali ya juu bila kuingiza siasa. Nani unaona anafaa kuiongoza hii wizara? Manake huyu dogo simuelewi na lugha yake ya "mchakato bado unaendelea" naomba kuwasilisha
Kuna siku kulikuwa na mgao mkali sana, niko home nasikiliza mpira wa Simba na Yanga kwenye redio ya simu, nikasikia Ngeleja kwenye radio yuko uwanja wa Taifa ana comment kuhusu Simba na Yanga na kucheka cheka, nilitaka kupasua ukuta kwa hasira.Jamani hakuna wizara ninayoichukia kama ni nishati, ...Nani unaona anafaa kuiongoza hii wizara?
I am bidding for the coveted post!