1. Kila baada ya 5000 km. au
2. Kila baada ya 2 yrs. au
3. Kila ukibadirisha tyres au rims. au
4. Kama unaedesha sana rough road kila baada ya 3000km or less. au
5. Ukisikia vibration sana kwenye usukani. au
6. Uliwahi lata basti ya tyre ukiwa kibati. au
7. Unahisi tyres zinachakaa upande mmoja...