Unatakiwa ubadili mswaki kila baada ya miezi 3

Unatakiwa ubadili mswaki kila baada ya miezi 3

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,397
Unatakiwa ubadilishe mswaki kila baada ya miezi 3. Kuna watu wanatumia mswaki miaka 3.

Sio vizuri unatakiwa ubadilishe kila wakati ndo mana midomo haitaacha kunuka coz unatumia mswaki mda mrefu.

Mara yako ya mwisho kubadilisha mswaki lini?

Wewe unabadlisha mswaki kila baada ya mda gani?
 

Attachments

  • 1460141569745.jpg
    1460141569745.jpg
    10 KB · Views: 26
Niko vizuri,naweka vocha kwa siku zaid ya marambili,sasa kwann nisibadili mswaki ambapo bei sawa na vocha
 
Back
Top Bottom