my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
knasababshwa na nn?Kunuka kwa mdomo hakusababishwi na kutumia mswaki kwa muda mrefu.
Mswaki hauzalishi bakteria wanaoleta harufu mbaya ya mdomo.
goodSiku nne
knasababshwa na nn?
una miaka mngap?tangu nikiwa na miaka nane
20+una miaka mngap?
unajal afya yko. bravo. wanume weng awajal afya ya mdomoNiko vizuri,naweka vocha kwa siku zaid ya marambili,sasa kwann nisibadili mswaki ambapo bei sawa na vocha
mswak wko una brush ya chuma haish?
bacteria wanazalshwa wap?Kunasababishwa na bakteria.
mswaki muwa, kila asubuhi lazima nitumiebas huo mswak wko una brush ya chuma haish?
we week umepata ktk chanzo kip?Mi najuwa kuwa inabidi ubadilishe msuaki kila week hiyo miezi 3 ndo kwanza nasikia Leo. hiyo miez 3 sijui umepata katika chanzo kipi
unabadlisha mswak baada ya mda gn?Zingine sifa sasa
muwa ni nn?mswaki muwa, kila asubuhi lazima nitumie