Unatamani kufa ukiwa na hali gani?

Mm sitak kuwapa watu tabu kisa uhai wangu, sitak uzee ambao mpaka unashindwa kufanya kazi zako mwenyewe.
Hvy nife nikiwa na nguvu zangu za kufanya mambo yangu.
 
hali yoyote tu

kwangu kifo ni kama zawadi baada kustahimili magumu yote ya maisha

unapewa ukimya wa milele, utulivu wa milele
 
kwann nitaman kufa angali maisha matamu
 
Naombea sana kifo chema,
Nikiwa na nguvu zangu,
Kifo cha usingizini...
 
Wakati Walio wafu tayari wakiwaza kufa,

Wana wa Mungu hatuwazi kifo maana tulishakufa, tukazikwa na kufufuka,

Tunaishi milele na milele.

Ikiwa unapenda kuishi milele, mpe Yesu maisha Yako Kwa kufuatisha Sala hii;

EE MUNGU KATIKA JINA LA YESU KRISTO, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUISHI MAISHA MATAKATIFU, DHAMBI ISINISHINDE, UOVU USINISHINDE, NINAOMBA HAYO KUPITIA JINA LA YESU KRISTO ALIYE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU. Aamen.
 
bora nife nikiwa na uwezo wa kugegeda warembo wa willi kwenye threesome, so 73 yanitosha mie
 
bora nife nikiwa na uwezo wa kugegeda warembo wa willi kwenye threesome, so 73 yanitosha mie
Astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah astakafillah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…