sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Baada ya kufanya kolabo yao ya kwanza miaka zaidi ya 10 iliyopita.
Je unatamani kuwaona tena kwenye wimbo mmoja??
Ogopaaa!!! 😂😂🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haujui ni signature maarufu kuliko nyimbo za watuWE SIMBAAA!!!
Kiba kazeeka sanaMi natamani ya ali kiba na mr blue
Yeye na mzee zahir zoro nani mzee?Kiba kazeeka sana
[emoji23][emoji1787][emoji16]Kiba kazeeka sana
Mboga 7 tayar sio ya mda sana.Mi natamani ya ali kiba na mr blue
Zipo Maria na Mboga sabaMi natamani ya ali kiba na mr Blue
Ilikuwpo Ya zamani kidogo ilikuwa inaitwa Kiss to the lady
Baada ya kufanya kolabo yao ya kwanza miaka zaidi ya 10 iliyopita.
Je unatamani kuwaona tena kwenye wimbo mmoja??
Ogopaaa!!! 😂😂🔥
BBM - Ngwair ft. Diamond & Mr. BlueIlikuwpo Ya zamani kidogo ilikuwa inaitwa Kiss to the lady
Yeah nilitaka kuissahau na BBM piaBBM - Ngwair ft. Diamond & Mr. Blue
Hao si walishafanya mboga sabaMi natamani ya ali kiba na mr blue
Sijawahi kuonana na mr.blu lakini anavyoongelewa na watu inaonekana jamaa ni mtu poa sana. Sijawahi kusikia ana bifu na mtu au akiongelewa vibayaDiamond aliwahi kuhojiwa akasema Mr blue alimsaidia sana kupeleka nyimbo yake ya kamwambie kwenye vituo vya redio wa I promote
Respect