Unatamani kuiona collabo ya Diamond Platinumz na Mr Blue?

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066

Baada ya kufanya kolabo yao ya kwanza miaka zaidi ya 10 iliyopita.

Je unatamani kuwaona tena kwenye wimbo mmoja??

Ogopaaa!!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ”₯
 
Diamond aliwahi kuhojiwa akasema Mr blue alimsaidia sana kupeleka nyimbo yake ya kamwambie kwenye vituo vya redio wa I promote


Respect
 
Diamond aliwahi kuhojiwa akasema Mr blue alimsaidia sana kupeleka nyimbo yake ya kamwambie kwenye vituo vya redio wa I promote


Respect
Sijawahi kuonana na mr.blu lakini anavyoongelewa na watu inaonekana jamaa ni mtu poa sana. Sijawahi kusikia ana bifu na mtu au akiongelewa vibaya
 
Labda tusubir video, Audio ni taarabu la kizenji lenye michano mwishoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…