Unatamani kumwona nani Live hapa J.F?

Nimesikitishwa saana na hii thread..... yaaani viewer almost 1k + replies 450.... ila hata mmoja anaetamani kuniona mimi.....

Doh... sion sababu ya kuendelea kubaki humu... au ngoja nitafute kick kwa fujo. 😡 😡 😡 😡

Sent from "La -Vista"
 
Kuna Karucee na kipajihalisi natamani nije kuwaona siku moja.
Japokuwa kuna wengine pia ila sitawataja kwa leo.

love thé love or hâte thé love.....
 
Mnakutana humo kwenye madaladala ila tu ndio hivo hamjuani kuna mtu aliniibia Wallet wakati tunagombania daladala pale Baridi mnazi mmoja huyo mtu nahisi ni wa humu JF jamaa mwenyewe ana makengeza hivo unaweza kujua anaamuangalia wa pembeni yako kumbe anakuangalia wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…