Unatamani nani awe ule nae weekend hii

Hahaa kila la kheri kama umeamua kujibebisha mwenyewe.. Angalia usije ukaishia kuwa mwanachama wa chaputa
wewe haiwezi tokea kitu kama hïyo kwan humu jf ukiwa na demu ndo unamfanyaje? bora niwe chaputa kuliko kua na demu jf
 
Hahaa unatakiwa uwe muoteaji mzuri mbona warembo wapo wengi tu
unaoteaje yani kwa mfano .......hivo si kucheza love biko ...tena mchana kweupe na tumeshakatazwa kamari na mwenyezi au ndo zako nn kubahatisha (otea hahaha) humu jf? mkuu..
 
Weekend imeeisha ,ila mimi kuna mwanamke mmoja tu ambaye ananipa nguvu ya utendaji ktk kila siku yamaisha yangu.

Toka niwe naye amekua benki sahihi nabora nlowekeza moyo wangu nayeye kunipa faida ya upendo kila siku.

Sio tu weekend au nisubir sikukuu ndo niwe naye, uwepo wake kichwan mwangu unanifanya nijihisi Aman na Furaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…