Unatamani ramani nzuri ya nyumba?

Unatamani ramani nzuri ya nyumba?

AMAFUMU

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
221
Reaction score
113
Ni architect professionaly kama unataka design nzuri za nyumba basi kutana nami utafurahia maisha yako yote.
Ushauri natoa bure....kwa dar nimejenga nyumba nyingi sana kigamboni...namaanisha nimedesign na kusimamia ujenzi.
Kikubwa ukiweza kufanya kazi na mimi utapata raha.

.
 
Cost zako zikoje ?
Halafu Architecture wengi wanafanya kutumiana na ku -sample kazi za wenzao tu. Yaani ubunifu hakuna, watu hawataki kukuna kichwa kuja na design mpya.

Samahani kwa kushambulia but wachora ramani wengi ubunifu hakuna!
 
ila ulichosema ni kweli tupu mkuu Shark
 
ila ulichosema ni kweli tupu mkuu Shark

Hivi ushawahi kuona mijengo ya kinaijeria inavyovutia mkuu mito ?

Yaani suala haliwi tu kua mteja apate vyumba na sebule na choo n.k. , but muonekano wa Nyumba nje ukoje ?
Ubunifu upo?
Inavutia ?
 
Last edited by a moderator:
Hivi ushawahi kuona mijengo ya kinaijeria inavyovutia mkuu mito ?

Yaani suala haliwi tu kua mteja apate vyumba na sebule na choo n.k. , but muonekano wa Nyumba nje ukoje ?
Ubunifu upo?
Inavutia ?

naionaga tu kwenye muvi zao mkuu, kweli zinavutia sana
 
Si kweli....nabisha kwasababu naamin hapa nchini kuna kazi zetu ni nzuri kabisa sema kwa vile watz tunaugonjwa wa kupenda vya nje...ka vipi ni pm nikupe facebook acount yangu afu upitie profile langu.pia swala la bei ni maelewano kulingana na mahitaji....halafu kunakitu pia haujaelewa wateja wengi tz hawana exposure na vitu so akiona jengo la jilani nae abataka hilohilo mifano hai ninayo.m kuna nyumba nilidesign kibada basi kila anayejenga maeneo yale anataka ileile nyumba baadhi wanafanikiwa kupata contact zangu na nawashauri kuwadesignia zingine badala ya ileile.

Pia sisi sio ma architecture ni architect.... kuhusu gharama usiogope....ila kama ni ghorofa moja a residential house haitapungua 1.8m
 
Kwa wale wanaotaka profile langu nitafute kwa namba hii 0656509838
Hii imetokana na kuwa muda mwingine nachelewa kuziona pm za watu na wamekuwa wengi wakinihitaji.
 
Back
Top Bottom