Pre GE2025 Unatarajia ilani nzuri kiasi gani ya CCM uchaguzi mkuu ujao?

Pre GE2025 Unatarajia ilani nzuri kiasi gani ya CCM uchaguzi mkuu ujao?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Heshima, Upendo, Matumaini na Kuaminika, kwa Chama Cha Mapinduzi kwa wanainchi wa Tanzania, kuna tokana pamoja na mambo mengine, ni utekelezaji wa wa mafanikio makubwa sana, wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa mwaka 2020-2025, kiuchumi, kijamii na kisiasa.

waTanzania na wananchi, wanaiona CCM, kila wanapotumia huduma muhimu mbalimbali za msingi kama vilevile maji, elimu, afya, umeme, miundombinu, biashara, kilimo, utalii, ufugaji, uvuvi, viwanda, uwekezaji, usafirishaji nchini kavu, majini na angani, ulinzi na usalama wa watu mali na makazi yao, amani na utulivu wa uhakika n.k.

haya ni baadhi tu ya mafanikio machache kati ya mengi ambayo CCM kupitia ilani ya nzuri sana ya Uchaguzi iliahidi na imetekeleza kwa vitendo 🐒

unatarajia ilani nzuri kiasi gani ya CCM uchaguzi mkuu ujao?

unapendekeza na kushauri agenda na vipaumbele gani muhimu vya wananchi vipewe umaalumu wa kipekee wakati huo muafaka?🐒

Asanti sana Hayati Rais Dr.John Joseph Pombe Magufuli.

Bwawa la Mwalimu Nyerere, Ikulu ya Chamwino na Reli ya SGR, Makamu wako Dr.Samia amevimekamilisha vizuri Baba..R.I.P John.

Tunakushukuru sana Rais comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, mwenyekiti wa CCM taifa..
Tuna Imani nawe.

Mliahidi Mmetekeleza kwa vitendo.

Mungu awabariki nyote.
 
Back
Top Bottom