Unatatuaje tatizo la Milango ya mbao kushindwa kufunga hasa ikinyeshewa na mvua?

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
726
Reaction score
564
Nimekuwa nikisumbuliwa Sana na milango kushindwa kufunga hasa ikinyeshewa na mvua, ushauri wenu wadau wa nini nifanye!

 
Funika paa ili isinyeshewe maana kila inapopata maji maji huwa inavimba.
 
Piga vanish vizuri hii itasaidia mvua ikipiga maji yanateleza na pia kama kuna uwezekano mlango usiwe sana exposed kwa nje ukawa unanyeshewa na mvua hata kama sio mvua ya upepo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…