Teleskopu
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 702
- 767
Tunaponunua bidhaa, huwa tunatupa kifungashio na kubakiza bidhaa.
Itakuwaje kama mtu atatupa bidhaa na kubakiza kifungashio?
......
Inawezekana hilo nalo linatokea!
......
Mwaka 2010, Rockefeller foundation walitoa document waliyoita Scenarios for the Future of Technology and International Development (Utabiri wa teknolojia na maendeleo ya kimataifa kwa siku zijazo) - unaweza kuipata hapa: http://www.riapriamolitaliainsalute.it/allegdenuncia/Doc. 28 Rockefeller Foundation.pdf
KUMBUKA: Ilikuwa mwaka 2010.
Katika ukurasa wa 18 kuna sehemu inasema hivi:
Kumbuka haya yanaandikwa 2010!! 🤔🤔🤔
Anaendelea kusema:
Kisha ukurasa wa 19, kuna sehemu inasema:
Nakukumbusha tena: Haya yananaandikwa mwaka 2010.
MASWALI YA KUJIULIZA
1. Korona ni bidhaa au ni kifungashio?
2. Wewe umekuwa ukishughulika na bidhaa au kifungashio?
3. Umetupa kifungashio ukabaki na bidhaa au umetupa bidhaa ukabaki na kifungashio?
Maana yake ni kwamba: Je, unaona jambo halisi linaloendelea au umekamatwa na kushughulishwa na kisicho halisi?
Dunia inaswagwa kwenda mahali fulani. Kila kitu kilishapangwa siku nyingi. Fungua macho utajua.

Mwaka 2012, ugonjwa uliokuwa unatarajiwa, hatimaye ulifika .....
Kumbuka haya yanaandikwa 2010!! 🤔🤔🤔
Anaendelea kusema:
Ugonjwa ulikuwa na athari kubwa sana kwenye uchumi, kusafiri kwa watu na bidhaa, utalii, nk.
Kisha ukurasa wa 19, kuna sehemu inasema:
Wakati wa ugonjwa huu, mamlaka duniani zilianzisha sheria kali za vizuizi, kuanzia kulazimika kuvaa barakoa, ukaguzi wa joto la mwili sehemu za maingilio (mf. vituo vya treni) .....nk