Unatoa ute mwingi kupita kiasi ukeni na kupata maumivu?

Loveeness78

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
280
Reaction score
294
Je unatoa ute mwingi ukeni na kupata maumivu ukeni wakati unatembea au wakati mwingine wakati ukiwa unafanya mapenzi?

Kama unajisikia hari hiyo na umeshaenda kwa madactar mbalimbali, na ukapimwa kila aina ya infection na huna maambokizo, tunaweza kuongea na naweza kukusaidia kutatua tatizo lako bila kutumia dawa yoyote na ukawa mzima ukasahau adha hiyo.
 
Mkombozi afadhali umefika, tatizo hilohilo rafiki yangu analo nisaidie isee rafiki
 
Kwa uzoefu, nyuzi nyingi za humu jukwaani hutolewa kwa lengo la kusaidia watu.

Nilitegemea katika hayo maelezo yako pia kuwe na solution kabisa ya tatizo hilo kwa wahanga.

Bad enough nanusa harufu ya upigaji..

Ushauri: wasaidie wanawake wenzio kama unajua suluhisho bila kuanza kuweka milango ya masharti.
 
Kaka baba mkomboz kaja ndo maisha ya bongo udalali kibao matendo=0
 
UTE MWINGI UKENI HALAFU HAUNA MAAMBUKIZO NADHANI ZITAKUWA NI SPERM TU .SOLUTION NI KUACHA KUWEKA VIPORO VYA SPERM PAPUCHINI
 
Tunatakiwa kuku-PM? Kama ni free ungeweka hapa ingesaidia watu wengi kuliko huko prime minister!
 
Reactions: BAK
Unaogopa kuwa wazi kuwa ni matangazo ya biashara,kama ni bure eleza hapa watu wapate Elimu,wakawaeleze na wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…