Unatoaje pesa kwenye account yako ya TikTok kwa upande wa Tanzania?

Tusker

Senior Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
103
Reaction score
132
Kwa wale watumiaji wa tiktok nilikuwa naomba kuuuliza swali, upande wa kutoa mafaranga yako kwa upande wa Tanzania [emoji1241] unatumia account ipi?

Maana nimejaribu kutumia PayPal lakni imegoma, yenyewe inaruhusu kutuma pesa lakni kupokea haiwezekani.

Asante.
 
kumbe kuna namna ya kupata hela huko tik tok na hamsemi
 
nashinda tiktok sijawah pata at mia ebu tueeleze izo ela unazotaka kuzitoa umezipataje tujue tunakusaidiaje😎🤏
 
Kwa wale watumiaji wa tiktok nilikuwa naomba kuuuliza swali, upande wa kutoa mafaranga yako kwa upande wa Tanzania [emoji1241] unatumia account ipi?

Maana nimejaribu kutumia PayPal lakni imegoma, yenyewe inaruhusu kutuma pesa lakni kupokea haiwezekani.

Asante.
Inatoa tu kama hivi.
 
Back
Top Bottom