Huyo ndio nani hapa mjini daslamu?h kafanyaje tena
ππππππ
Alafu we vnc jau sana πππHuyo ndio nani hapa mjini daslamu?
Naunga mkono hojaTatizo badala ya kutumia ulimbo wa kizungu, wewe unatumia maneno tu..
Mkono mtupu haulambwi sheikh...
Kwema kakaAlafu we vnc jau sana πππ
Kwanini unapitaga kimya kimya mkuu
Siwezi sema adimu sna..Kwema kaka
Wasamehe tu! Wenzenu tushazoea kuchakazwa ila ndiyo uanaume CCMidada myengine inamambo ya ajabu lijitu unalitongoza kwa staha na ukimya ila lenyewe likiwa limekoswa ustahimilivu linakujibu kwa kubwatuka kwanguvu!, ni kama vile limepewa kipaza sauti ama tupo kwenye mkutano wa hadhara kila mtu anahitaji kusikia!!.
Sio tu habari kusambazwa mtaani mpaka mitandaoni!, huu sio ustaarabu kama mmeamua kuwa vyombo vya habari mseme ili nasisi tuanze kutongoza kwa vipaza sauti!.
Mtasema nang'aka kisa nimekataliwa, hapana na kukataliwa ni sehemu ya maisha lakini ndo mtu ukatae mpaka mishipa yashingo ikukakamae..!!
Hii tabia inachagizwa na nini?, mnashida gani au ndio style mpya ya kujibu watu hivyo..?
Kaka sina maisha hapa mjini daslamu nipo naungua na juaaaSiwezi sema adimu sna..
Ila umejificha mno kaka
Naonaga chata zako tuu ππππππ
Acha mambo yako weww ππππKaka sina maisha hapa mjini daslamu nipo naungua na juaaa
TRue brohAcha mambo yako weww ππππ
shida sio kukataliwa ni kelele...
Mrembo wa JFndo mnani huyo..?