Unatongozwa taratibu unatakaa kwa nguvu, kwanini..?

😹😹😹 Ilitakiwa akuwashe na kofi kuonyesha msisitizo..!!

Soma comment ya 8 peoples ina jibu lako murua..!! Wanawake wa dar tofauti na wa bush, wako nje ya muda wakiona unawasemesha hovyo road wanajua wewe mwizi au kibaka..!!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
hili nalo ndo yaleyale nani kakuambia nilimtongoza barabarani..?
 
Of course umekataliwa ndio maana umekuja hapa,na ni kweli hiyo sio tabia nzuri unatongozwa kimya kimya wewe unakataa kwa kubwatuka.Huo ni udhaifu mkubwa na si staha hata kidogo
 
hili nalo ndo yaleyale nani kakuambia nilimtongoza barabarani..?
Sasa hasira zako za kukataliwa usiniletee mimi nyoko weeh..!! 😹😹😹

Huyo mwanamke unataka kusema ulimtongoza ndani ya ndege au?
Hakuna mwanamke utakayemtongoza sehemu za heshima akakujibu kwa kubwata au kupayuka..!!

Hizo ni tabia za watu wa uswahilini buza na vingunguti..
 
Momy muda si mrefu utakula ngumi...πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…