Unatumia dawa gani ya meno

Bebris

New Member
Joined
Oct 7, 2021
Posts
4
Reaction score
8
Ngoja niwaambie kitu sisi wanadamu uwa tuna bacteria mdomon wao uwa wanafanya mdomo uwe na harufu kali sana na kama unatumia dawa za meno za kawaida niamin una herufu sana mdomon na mimi nilikuwa miongon mwao lakin tang nitumie dawa moja ya meno yaan ukiachan kukata harufu meno yanakuwa na rang ya karatas zile za limu sasa fanyej jambo wanang comment niwape namba ya huyo anaeuza dawa.

 
Itaje jina. Hata ivo nasikia wanatumia pipi kifua faraga
 
Ninatumia dawa fulani.
 
Weka taarifa kamili, biashara haitaki maringo.
 

na tumia mavi ya kuku kupigia mswaki
 
Kuna dem flan nlijiokoteaga kwenye boat kutoka zanzibar ye anaishi Ukonga...aisee anakikwapa cha mdomo balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…