Are you serious ????Toka lini nguruwe akalishwa chakula???---- Nguruwe ni Scavenger na rafiki yake ni Fisi, katika ndege Scavengers ni Tai, Mwewe na jamii zake na Kunguru, sasa wewe umeona mtu gani anayefuga hao ndege kwa ajili ya kitoweo???!!--- iweje wewe ufuge nguruwe??, basi fuga Fisi pia.
Leo sikukuu yenu ya eid tulia hivyo hivyoToka lini nguruwe akalishwa chakula???---- Nguruwe ni Scavenger na rafiki yake ni Fisi, katika ndege Scavengers ni Tai, Mwewe na jamii zake na Kunguru, sasa wewe umeona mtu gani anayefuga hao ndege kwa ajili ya kitoweo???!!--- iweje wewe ufuge nguruwe??, basi fuga Fisi pia.
Leo sikukuu yenu ya eid tulia hivyo hivyo
Wanaliwa sana hao na hata siku ya mfungo mauzo yanashuka sanaNguruwe na Sikukuu ya Eid wapi na wapi??
Kweli kabisaWanaliwa sana hao na hata siku ya mfungo mauzo yanashuka sana
Nashukuru mkuu japo hujaniambia mchanganyiko wa pumba unawapa kiasi gani?Duu mkuu mi hua nawalisha mchanganyiko wa pumba za mahindi na mchele.
Pia chakula chao kikuu hua nawapa maganda ya viazi mbatata, nayokusanya kutoka kwa wachoma chips mitaani, but hua nayapika ili kuua baadhi ya vidudu vinavyoweza sababisha wakapata magonjwa nyemelezi...
Usafi pia ni jambo lamuhimu hakikisha kila siku unasafisha pot zao za kulia na banda zao kiujumla.
Nawasilisha.
ni kweli, nguruwe ukichelewesha chakula, na yeye amezaa vitoto ananyonyesha, utamkuta anatafuta kitoto chake cha pili au cha tatu. akitoka nje, hao watoto wako wanatambaa (watoto wa binadamu) akijichanganya huwa anaweza kumla.Toka lini nguruwe akalishwa chakula???---- Nguruwe ni Scavenger na rafiki yake ni Fisi, katika ndege Scavengers ni Tai, Mwewe na jamii zake na Kunguru, sasa wewe umeona mtu gani anayefuga hao ndege kwa ajili ya kitoweo???!!--- iweje wewe ufuge nguruwe??, basi fuga Fisi pia.
Ni kweli ila exception nasikia ni mbiliNasikia nguruwe ni mnyama mwenye alimentary canal inayofanana na ya binadamu. Kwa hiyo vyakula vya binadamu anaweza pia kupewa nguruwe.