unatumia kampuni gani kuagiza aftermarkets spare parts zako

unatumia kampuni gani kuagiza aftermarkets spare parts zako

Jimmie Gatsby

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
3,587
Reaction score
7,272
wadau naomba tujuzane kampuni mnazotumia kuagiza spare parts..

mimi ni mdau wa sports cars na mara nyingi nimekuwa nafanya mods kuanzia bodykits hadi perfomance (tuning)

natumiaga bidhaa za I&N lakini nilikuwa siagizi direct mwenyewe nilikuwa natumia mtu sasa imefika wakati naona kama jamaa kuna vya juu anapiga

sasa basi wale wenzangu wa aftermarkets perfomance spare partst tujuzane ni kampuni gani unatumiaga kupata spare zako kwa beo nafuu na zenye ubora

spare kama... turbo chargers....frontmounted intercooler (FMIC) ..water meth injection kit.... defigauges (full set)....aftermarkets cold air intakes etc
 
Hizo parts zote ulizozitaja nimeziona sana kwenye Need For Speed actually sikufikiria kama kuna mtu in real life anaweza akalitune gari lake.

Nimeinjoi kusoma uzi wako, samahani sina msaada na swala lako.
 
hahahah.... nimeshapata msaada kuna mdau alikuja PM..

kama ni mpenzi wa sport cars na unapenda tuning ngoja nikurecomend kwa jamaa wapo pale kijitonyama ni moja ya tuner nnayemuamini kwa hapa dar gereji yake inaitwa GTP... insta mfate kwa @gtptz yupo vizur sana

kwa arusha yupo jamaa anaitwa jason frisby yuko poa sana.....
 
Hizo parts zote ulizozitaja nimeziona sana kwenye Need For Speed actually sikufikiria kama kuna mtu in real life anaweza akalitune gari lake.

Nimeinjoi kusoma uzi wako, samahani sina msaada na swala lako.

follow @gtpz insta uone real life tuning in tz (dar es salaam) kijitonyama
 
Back
Top Bottom