Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
Hizo parts zote ulizozitaja nimeziona sana kwenye Need For Speed actually sikufikiria kama kuna mtu in real life anaweza akalitune gari lake.
Nimeinjoi kusoma uzi wako, samahani sina msaada na swala lako.

Kijitonyama sehemu gani?follow @gtpz insta uone real life tuning in tz (dar es salaam) kijitonyama