Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimenunua tv ya gesi, njoo uione
Na akisema kaa na pesa zako siji?Njoo home uchukue hela.....
Apeleke posa kabisa make huyo ni mke na nusuNa akisema kaa na pesa zako siji?
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Apeleke posa kabisa make huyo ni mke na nusu
[emoji23][emoji23][emoji23]Njoo home ujue uone sufuria ya plastiki na mwiko wa chuma [emoji12]
Hii wamekwisha ishtukia mkuu [emoji23][emoji23]Baada ya gia zote kuisha ya mwisho ni ya kuumwa.
Hapa unacheza na minds zake kidizaini, Kama demu anajielwa Sana unamwambia umezamia ndichi unaangalia series Moja Kali Sana na ingenoga zaidi Kama mngeiangalia mkiwa pamoja.Kama kawaida ya mabinti wa nchi yetu. Pale unapotaka kumchakata binti yule kwa mara ya kwanza, huwa kuna kaugumu anakuwa nako.
Huwezi kwenda direct umwambie eti "njoo kwangu nikuchakate mbususu" hawezi kukuelewa! Kila mwanaume hapa huwa na technic au kauli anazotumia!
Ni muda wa kutiririka mbinu na kauli unazotumia
N.B: Uzi usiharibiwe
[emoji23][emoji23][emoji23]