Unatumia kigezo gani kupima urembo wa Mwanamke?

🤣🤣🤣 Sasa jamani vigezo sii vile vile tuu...sura matiti chura..hapa kwenye chura sio tako kubwaaa. Hapana. Nataka tako la kuvalia gauni la kwenda nalo kanisani, ile sunday best.

Vya ziada kwangu; vidole virefu vyembamba, lazima awe ameenda hewani, pua ya kizungu kwapa zuri.
 
 
Mashalaaah mashalaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…